Ngano App
Menu

App Kali Ya Simulizi
Ambayo Ni Gumzo La Jiji.

App ya Ngano Inaongoza kwa kuleta riwaya na simulizi ambazo zimeandikwa na waandishi mashuhuri kote katika kanda ya Afrika Mashariki. Utaipenda.

Scroll

App Ya Simulizi Inayojulikana Kote.

App ya Ngano inaongoza kwa kuwa ya kwanza katika Playstore kwa sababu ya features zake nzuri ambazo hazipatikani kwingine

Iko Kasi.

App ya simulizi ya Ngano imeundwa na mfumo mpya wa kiteknolojia ambao unaifanya riwaya zote kufunguka kwa kasi bila ya kubagua mtandao uliomo. Unachohitajika ni uchague riwaya unayoipenda na papo hapo uanze kuisoma.

Smart.

Ukiwa unasoma riwaya, hautakuwa na wasiwasi wa kutambua sehemu ulipoachia kusoma kwani app ya Ngano ina uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu ya sehemu ulipoachia kusoma na utaendelea na riwaya yako bila tashwishi ya kuruka hata sentensi moja.

Powerful.

App ya Ngano inatambua ubora wa matumizi hivyo imehakikisha ya kuwa kila simu inaambatanishwa nayo. App ya Ngano ni nyepesi hivyo itatumika kirahisi bila kukwama katika simu ambazo zimewiana nayo.

Salama.

App ya Ngano ni salama kuitumia kwani data yako inahifadhiwa vizuri katika mifumo ya encryption ya 256 ambayo hakuna yeyote anaweza kuidukua. Jihisi huru kujisajili kwa app ili uweze kutumia features zaidi ambazo zinapatikana ndani ya app.

Jinsi Ngano App Inavyofanya Kazi?

Jisajili

Jisajili kwa kuchagua mojawapo ya njia hizi tatu; Google, Facebook ama kupitia email. Usajili utakusaidia kufungua features nyingi zaidi.

Chagua riwaya

Chagua riwaya ambayo utaamua kusoma. Riwaya zimeorodheshwa katika kategoria za Sisimuzi, Chombezo, Kichawi, Maisha, Mapenzi na Hadithi Fupi

Soma

Anza kuisoma riwaya yako kwa urahisi. Riwaya katika app ya Ngano zimegawanywa katika sehemu tano. Unaweza kuruka kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa kugusa tu.

Ziada

Unaweza kuhifadhi riwaya kwa kudownload ili usome wakati ambapo umezima ama umeishiwa na mbs. Pia unaweza kutoa maoni yako kwa riwaya kwa kutoa ratings, favourite ama kuandika comment.

Features Ambazo Utazipenda Ndani Ya Ngano App.

Ngano app imewekwa features ambazo lengo lake kuu ni kukurahisishia usomaji wako. Soma bila wasiwasi wowote. Yale mengine tuachie sisi.

Cloud Based

Riwaya zote tumezihifadhi mawinguni hivyo ni rahisi kwako kupakua kitabu chochote kwa uharaka. Pia inaturahisishia uwezo wetu wa kupakia vitabu vipya pindi vinapoachiliwa.

Orodha

Katika app tumeweza kuorodhesha vitabu kulingana na kategoria. Pia tumeweza kuweka profiles za waandishi pamoja na vitabu walivyoandika. Zaidi ni kuwa unaweza kuwasiliana nao kupitia kwa nambari zao za simu.

Vitabu

Vitabu vimepakiwa kwa app katika mfumo wa aina yake. Unaweza kuongeza ukubwa wa maandishi, unaweza kushare maandishi, kufungua wikipedia ama kamusi ya kiingereza, ama kuweka night mode yote ndani ya kitabu chenyewe.

Muendelezo wa kusoma

Pindi unapofungua kitabu kusoma, app ya Ngano inatambua kitabu hicho hivyo ukizima simu ama kuondoka kwa app itakuwekea kategoria mpya ya vitabu ambayo unapaswa kuendelea kusoma.

Gumzo

Unaweza kuandika maoni kwa kitabu, unaweza kuwasiliana na admin ama kuripoti kitabu ambacho unaona kina tatizo.

Ni Bure

Vitabu hivi ni mikusanyiko ya maandishi ya waandishi walioviachilia bure kwa mitandao ya kijamii hivyo nasi tumeamua kuwaletea hivi vikiwa vimekamilika na bure.

Wasomaji Ndani Ya Ngano App Wanaipenda!

Author image

Iko vizuri sana kiukwela na haapy sana.

AJ Channel @ajchannel
Author image

Nimeipenda hii app.

Paul Mc @paulmc
Author image

basi tuleteen mwendelezo mashbiki zenu wa hii apps.

Majani Isra Seven @majaniIsta

Jiunge na Jamii Yetu Yenye Wasomaji Wengi.

Jiunge na jamii yetu ambayo inaendeleza utamaduni wa kusoma kazi za watunzi wa simulizi, kusupport na kukuza vipaji katika tasnia ya uandishi. Kuwa mmoja wetu kwa kujiunga sasa